Ufafanuzi wa mkama katika Kiswahili

mkama

nomino

  • 1

    mtawala wa jadi wa kurithi katika eneo la Kagera nchini Tanzania au baadhi ya maeneo ya maziwa makuu.

    mukama

Matamshi

mkama

/mkama/