Ufafanuzi wa mkamshi katika Kiswahili

mkamshi

nominoPlural mikamshi

  • 1

    chombo kama upawa wa mti kitumikacho kukorogea na kutekea mchuzi; kijiko cha mti.

Asili

Khi

Matamshi

mkamshi

/mkam∫i/