Ufafanuzi wa mkandamizaji katika Kiswahili

mkandamizaji

nomino

  • 1

    mtu anayedhulumu wengine kwa kuwanyima haki zao.

    mwonevu

Matamshi

mkandamizaji

/mkandamizaʄi/