Ufafanuzi wa mkangaja katika Kiswahili

mkangaja

nominoPlural mikangaja

  • 1

    mti wa jamii ya mchenza wenye majani madogomadogo kama ya mdimu, matunda yake madogo kuliko chenza.

Matamshi

mkangaja

/mkangaʄa/