Ufafanuzi wa mkanya katika Kiswahili

mkanya

nominoPlural mikanya

  • 1

    mti utoao maua meupe ambayo hutumiwa kama dawa.

Matamshi

mkanya

/mkaɲa/