Ufafanuzi wa mkarafuu katika Kiswahili

mkarafuu

nominoPlural mikarafuu

  • 1

    mti mkubwa wenye majani membamba ambao tumba zake hukaushwa na kutumika kama kiungo cha chakula, dawa, n.k..

  • 2

    mti uzaao karafuu.

Asili

Kar

Matamshi

mkarafuu

/mkarafu:/