Ufafanuzi wa mkasa katika Kiswahili

mkasa

nominoPlural mikasa

  • 1

    jambo au tukio la msiba au maafa linalomfika mtu.

    kadhia

  • 2

    jambo lisilo la kawaida analotenda mtu, agh. kwa ajili ya kufanya mzaha au kuchekesha wenzake.

    kituko

Asili

Kar

Matamshi

mkasa

/mkasa/