Ufafanuzi wa mkasi katika Kiswahili

mkasi, makasi

nominoPlural mikasi

  • 1

    kifaa kinachotengenezwa kwa madini, agh. ya chuma, chenye visu viwili vilivyounganishwa kwa skrubu ndogo na matundu mawili ya kuingizia vidole, kinachotumiwa kukatia vitu k.v. nguo au nywele.

Asili

Kar

Matamshi

mkasi

/mkasi/