Ufafanuzi wa mkataba katika Kiswahili

mkataba

nominoPlural mikataba

  • 1

    makubaliano yanayofikiwa kwa kuandikiana baina ya watu au vikundi viwili au zaidi ili kufanya jambo au kazi fulani.

    chata

Asili

Kar

Matamshi

mkataba

/mkataba/