Ufafanuzi wa mkatale katika Kiswahili

mkatale

nominoPlural mikatale

  • 1

    mti uliochongwa na kutobolewa tundu kubwa ambao zamani walikuwa wakifungiwa watumwa.

    gandalo, gogoo

Asili

Kar

Matamshi

mkatale

/mtakalɛ/