Ufafanuzi wa mkatavu katika Kiswahili

mkatavu

nominoPlural wakatavu

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kukataakataa kila anachoambiwa; mtu asiyekubali maneno au maagizo anayopewa.

Matamshi

mkatavu

/mkatavu/