Ufafanuzi msingi wa mkate katika Kiswahili

: mkate1mkate2

mkate1

nominoPlural mikate

 • 1

  chakula kinachotengenezwa kwa kukandwa unga k.v. wa ngano, mtama au mahindi na kuokwa au kuchomwa.

  ‘Mkate wa boflo’
  ‘Mkate wa mofa’
  ‘Mkate wa kumimina’

Matamshi

mkate

/mkatɛ/

Ufafanuzi msingi wa mkate katika Kiswahili

: mkate1mkate2

mkate2

nominoPlural mikate

 • 1

  kitu ambacho kinatengenezwa kwa kukorogwakorogwa unga ili kufinyangiwa kitu kama mkate kwa matumizi maalumu.

  ‘Mkate wa tumbaku’
  ‘Mkate wa jivu’

Matamshi

mkate

/mkatɛ/