Ufafanuzi msingi wa mkato katika Kiswahili

: mkato1mkato2

mkato1

nomino

 • 1

  namna ya kukata.

 • 2

  muhtasari wa jambo linalosimuliwa.

Matamshi

mkato

/mkatɔ/

Ufafanuzi msingi wa mkato katika Kiswahili

: mkato1mkato2

mkato2

nomino

 • 1

  alama ya kituo (,) inayotumiwa katika maandishi.

  koma

Matamshi

mkato

/mkatɔ/