Ufafanuzi wa mkayakaya katika Kiswahili

mkayakaya

nominoPlural mikayakaya

  • 1

    mti wenye umbo la mwavuli, vijani vidogo, maua ya rangi nyekundu au ya manjano na tumba bapa ndefu.

    mkrismasi

Matamshi

mkayakaya

/mkajakaja/