Ufafanuzi msingi wa mkazo katika Kiswahili

: mkazo1mkazo2

mkazo1

nominoPlural mikazo, Plural mkazo

  • 1

    hali ya kufunga kitu kwa nguvu zaidi.

  • 2

    hali ya kusisitiza jambo au maneno.

    ‘Hotuba yake inatilia mkazo kujitegemea’
    msisitizo

Matamshi

mkazo

/mkazɔ/

Ufafanuzi msingi wa mkazo katika Kiswahili

: mkazo1mkazo2

mkazo2

nominoPlural mikazo, Plural mkazo

Sarufi

Matamshi

mkazo

/mkazɔ/