Ufafanuzi wa mkiki katika Kiswahili

mkiki

nomino

  • 1

    tendo la kutumia nguvu katika kutenda au kupata jambo fulani.

Matamshi

mkiki

/mkiki/