Ufafanuzi wa mkimbizi katika Kiswahili

mkimbizi

nominoPlural wakimbizi

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kukimbia mahali anapotakiwa awepo.

    ‘Mtoto huyu ni mkimbizi sana, hapendi kwenda shule’
    mtoro

Matamshi

mkimbizi

/mkimbizi/