Ufafanuzi wa mkimbizi wa kisiasa katika Kiswahili

mkimbizi wa kisiasa

  • 1

    mtu anayetoroka nchi yake kwenda nchi nyingine kutafuta himaya kwa sababu ya ghasia za kisiasa, mauaji, vitendo vya kidhalimu au vita.