Ufafanuzi wa mkimbizi wa ndani kwa ndani katika Kiswahili

mkimbizi wa ndani kwa ndani

  • 1

    raia wa nchi anayekimbia kwa sababu za kisiasa kutoka sehemu anayoishi au anapowekeza na kufanya makazi yake, baada ya makazi yao kuchomwa na mali yao kuangamizwa, kwenda kuishi kwenye kambi za usalama au wakimbizi.