Ufafanuzi wa mkindu katika Kiswahili

mkindu

nominoPlural mikindu

  • 1

    mmea unaotoa majani (kindu) yanayotumiwa kwa kusukia kili, matunda yake yanafanana na tende lakini ni madogo zaidi.

  • 2

    mti unaozaa kindu.

Matamshi

mkindu

/mkindu/