Ufafanuzi wa mkingu katika Kiswahili

mkingu

nominoPlural mikingu

  • 1

    mti mrefu ambao, agh. hauoti majani na ni mgumu.

Matamshi

mkingu

/mkingu/