Ufafanuzi wa mkinzano katika Kiswahili

mkinzano

nominoPlural mikinzano

  • 1

    hali ya kutofautiana kimawazo.

    upinzani

Matamshi

mkinzano

/mkinzanɔ/