Ufafanuzi wa mkoche katika Kiswahili

mkoche

nominoPlural mikoche

  • 1

    mti wenye shina kama la mnazi uotao kwenye nchi kame, ambao ukiwa mchanga majani yake hutumika kutengenezea majamvi, vikapu, n.k..

Matamshi

mkoche

/mkɔtʃɛ/