Ufafanuzi wa mkokoto katika Kiswahili

mkokoto

nominoPlural mikokoto

  • 1

    tendo la kuburuta.

  • 2

    alama inayobakia hasa mahali penye mchanga nyuma ya kitu kinachoburutwa.

Matamshi

mkokoto

/mkɔkɔtɔ/