Ufafanuzi msingi wa mkole katika Kiswahili

: mkole1mkole2

mkole1

nominoPlural mikole

  • 1

    mti mdogo wenye shina jeupe na laini, matunda yake ni madogo kama buni, majani kama ya mfenesi na mizizi yake ni dawa ya kuzuia kuharisha au kutapishia wari wakati wa kukamilisha unyago.

Matamshi

mkole

/mkɔlɛ/

Ufafanuzi msingi wa mkole katika Kiswahili

: mkole1mkole2

mkole2

nominoPlural mikole

  • 1

    "kole!¹"

Matamshi

mkole

/mkɔlɛ/