Ufafanuzi msingi wa mkoma katika Kiswahili

: mkoma1mkoma2

mkoma1

nominoPlural mikoma, Plural wakoma

  • 1

    mti jamii ya mkoche.

Matamshi

mkoma

/mkɔma/

Ufafanuzi msingi wa mkoma katika Kiswahili

: mkoma1mkoma2

mkoma2

nominoPlural mikoma, Plural wakoma

  • 1

    mtu mwenye ugonjwa wa ukoma.

  • 2

    mchawi au muuaji; mtu anayegandamiza watu.

Matamshi

mkoma

/mkɔma/