Ufafanuzi wa mkomafi katika Kiswahili

mkomafi

nominoPlural mikomafi

  • 1

    mti mrefu wenye matawi mengi na unaozaa matunda magumu ya ukubwa wa madanzi yenye rangi ya kahawia yanayoitwa makomafi, hususan humea kwenye ufukwe wa bahari.

Matamshi

mkomafi

/mkɔmafi/