Ufafanuzi wa mkomamanga katika Kiswahili

mkomamanga

nomino

  • 1

    mti unaozaa makomamanga ambayo maganda yake huchemshwa na kufanywa dawa ya kufunga kuhara na matunda yake huliwa.

    mkudhumani

Matamshi

mkomamanga

/mkɔmamanga/