Ufafanuzi wa mkombozi katika Kiswahili

mkombozi

nominoPlural wakombozi

  • 1

    mtu anayeongoza au kushiriki katika mapambano ya watu ili kujitoa katika kutawaliwa, udhalimu au mateso.

  • 2

    mtu anayetoa kitu au fedha kwa ajili ya kumpata mtu au kitu kutoka katika mikono ya aliyekidhibiti.

Matamshi

mkombozi

/mkɔmbɔzi/