Ufafanuzi wa mkondohewa katika Kiswahili

mkondohewa

nominoPlural mikondohewa

  • 1

    njia ya kupitishia au kusafirishia hewa yenye joto.

Matamshi

mkondohewa

/mkɔndɔhɛwa/