Ufafanuzi msingi wa mkonge katika Kiswahili

: mkonge1mkonge2

mkonge1

nominoPlural mikonge

 • 1

  mmea wenye majani mapana, manene na marefu yenye miba nchani.

 • 2

  hutengenezwa nyuzi za katani za kutengenezea vitu k.v. kamba, magunia au mazulia, ukikomaa hutoa mlingoti wenye maua.

  katani

Matamshi

mkonge

/mkɔngɛ/

Ufafanuzi msingi wa mkonge katika Kiswahili

: mkonge1mkonge2

mkonge2

nominoPlural mikonge

 • 1

  samaki wa maji ya chumvi aliye mwembamba na mrefu mwenye miba mingi sana.

Matamshi

mkonge

/mkɔngɛ/