Ufafanuzi wa mkonokono katika Kiswahili

mkonokono

nominoPlural wakonokono

  • 1

    mganga stadi wa dawa au sumu za nyoka.

    mnunguri

Matamshi

mkonokono

/mkɔnɔkɔnɔ/