Ufafanuzi wa mkopeshaji katika Kiswahili

mkopeshaji

nominoPlural wakopeshaji

  • 1

    mtu anayetoa pesa kwa karadha.

  • 2

    mtu anayetoa fedha ili baadaye alipwe na riba juu au bila ya riba.

Matamshi

mkopeshaji

/mkɔpɛ∫aʄi/