Ufafanuzi wa mkopi katika Kiswahili

mkopi

nominoPlural wakopi

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kutaka kupata fedha kwa karadha; mtu mwenye tabia ya kukopa.

Matamshi

mkopi

/mkɔpi/