Ufafanuzi wa mkorogo katika Kiswahili

mkorogo

nominoPlural mikorogo

 • 1

  mchanganyiko wa vitu vingi vya majimaji.

 • 2

  mambo yaliyotendwa bila ya mpango au kufanywa ovyoovyo.

 • 3

  pombe inayotengenezwa kwa kupika.

 • 4

  dawa ya kuchubua ngozi.

Matamshi

mkorogo

/mkɔrɔgɔ/