Ufafanuzi wa mkoromo katika Kiswahili

mkoromo

nominoPlural mikoromo

  • 1

    sauti ya kukwaruza anayotoa mtu wakati amelala.

    msono, nyono

Matamshi

mkoromo

/mkɔrɔmɔ/