Ufafanuzi msingi wa mkota katika Kiswahili

: mkota1mkota2

mkota1

nominoPlural mikota

  • 1

    mmea unaofanana na muwele na ambao mabua yake hutoa maji yenye utamu wa sukari.

Matamshi

mkota

/mkɔta/

Ufafanuzi msingi wa mkota katika Kiswahili

: mkota1mkota2

mkota2

nominoPlural mikota

  • 1

    mtu mwenye nguvu nyingi; mtu mwenye uwezo.

    mbabe

Matamshi

mkota

/mkɔta/