Ufafanuzi wa Mkristo katika Kiswahili

Mkristo

nominoPlural wakristo

Kidini
  • 1

    Kidini
    mfuasi wa dini ya Ukristo.

    Nasara, Mmasihiya

Asili

Kng

Matamshi

Mkristo

/mkristɔ/