Ufafanuzi wa mkufunzi katika Kiswahili

mkufunzi

nominoPlural wakufunzi

  • 1

    mwanafunzi aliyekwisha kuhitimu somo fulani na anayeendelea kujifunza mengine lakini wakati huohuo akawa anafundisha wengine kile anachokijua.

  • 2

    mwanafunzi au mwanachuo anayesomea kazi.

Matamshi

mkufunzi

/mkufunzi/