Ufafanuzi wa mkuki katika Kiswahili

mkuki

nominoPlural mikuki

  • 1

    silaha inayotengenezwa kwa kuchomeka chuma kilichochongoka kwenye fimbo ya mti au chuma.

Matamshi

mkuki

/mkuki/