Ufafanuzi wa mkukumkuku katika Kiswahili

mkukumkuku

kielezi

  • 1

    kwa hali iletayo tafrani au suitafahamu mahali fulani.

    ‘Alipoanzisha fujo zake, wenzake walimtoa mkukumkuku nje ya ukumbi’

Matamshi

mkukumkuku

/mkukumkuku/