Ufafanuzi wa mkulima katika Kiswahili

mkulima

nominoPlural wakulima

  • 1

    mtu anayepata mahitaji yake kutokana na jasho lake kwa kulima ardhi anayoimiliki.

  • 2

    mtu mwenye ujuzi au maarifa na ustadi wa kulima.

Matamshi

mkulima

/mkulima/