Ufafanuzi wa mkumbizi katika Kiswahili

mkumbizi

nominoPlural wakumbizi

  • 1

    mtu asafishaye mahali na kuondoa takataka.

  • 2

    mtu afuataye wavunaji shambani na kuokoteza mavuno yaliyosalia.

Matamshi

mkumbizi

/mkumbizi/