Ufafanuzi wa mkumbo katika Kiswahili

mkumbo

nominoPlural mikumbo

  • 1

    tendo la kukumba au kumaliza vitu kabisa.

  • 2

    hali inayowapata watu, wanyama au vitu vingi kwa wakati mmoja k.v. ugonjwa, n.k..

    ‘Wanafunzi na walimu wote wamefukuzwa mkumbo mmoja’
    ‘Kama huna kitambulisho basi utaswagwa mkumbo mmoja na wasio na kazi’

Matamshi

mkumbo

/mkumbɔ/