Ufafanuzi wa mkundaji katika Kiswahili

mkundaji

nominoPlural mikundaji

  • 1

    samaki wa jamii ya kowana au sururu mwenye magamba manene na rangi nyekundu.

Matamshi

mkundaji

/mkundaʄi/