Ufafanuzi msingi wa mkungu katika Kiswahili

: mkungu1mkungu2mkungu3

mkungu1

nominoPlural mikungu

 • 1

  mti unaozaa kungu ambazo ndani ya kokwa zake mna badamu.

  mlozi

Matamshi

mkungu

/mkungu/

Ufafanuzi msingi wa mkungu katika Kiswahili

: mkungu1mkungu2mkungu3

mkungu2

nominoPlural mikungu

 • 1

  sehemu ya mgomba yenye ndizi.

  ‘Mkungu wa ndizi’

Matamshi

mkungu

/mkungu/

Ufafanuzi msingi wa mkungu katika Kiswahili

: mkungu1mkungu2mkungu3

mkungu3

nominoPlural mikungu

 • 1

  chombo cha udongo kinachofanana na bakuli.

  bunguu, kibia

 • 2

  mfuniko wa chungu uliotengenezwa kwa udongo.

  kiana

Matamshi

mkungu

/mkungu/