Ufafanuzi wa mkunguma katika Kiswahili

mkunguma

nominoPlural mikunguma

  • 1

    mti wenye majani madogomadogo unaozaa matunda yaliyo kwenye mkole, huwa na umbo kama zabibu na rangi nyekundu isiyokoza.

Matamshi

mkunguma

/mkunguma/