Ufafanuzi msingi wa mkunguni katika Kiswahili

: mkunguni1mkunguni2

mkunguni1

nomino

  • 1

    mtu asiyependa kufanya kazi.

    mvivu

Matamshi

mkunguni

/mkunguni/

Ufafanuzi msingi wa mkunguni katika Kiswahili

: mkunguni1mkunguni2

mkunguni2

nomino

  • 1

    mti unaofaa sana kutengenezea michi.

Matamshi

mkunguni

/mkunguni/