Ufafanuzi wa mkunguzi katika Kiswahili

mkunguzi

nominoPlural mikunguzi

  • 1

    jina linalotumika kuelezea jamii ya mimea inayotambaa na kujizingirisha kwenye miti.

Matamshi

mkunguzi

/mkunguzi/