Ufafanuzi wa mkunungu katika Kiswahili

mkunungu

nominoPlural mikunungu

  • 1

    mti wenye miba kama ndoana, majani yake yakifikichwa hutoa harufu mbaya.

    mnokoa

Matamshi

mkunungu

/mkunungu/